Project location

Eneo la mradi

Angalia eneo la mradi kwa kutumia Google maps
A lily in Magoroto

Mradi wa Jamii na Utalii Ikolojia Magoroto Mlinga

Lengo kuu la Mradi wa Jamii na Utalii Ikolojia Magoroto Mlinga (MAMCEP) ni kuhifadhi na kuimarisha matumizi endelevu ya misitu ya Magoroto Mlinga katika milima ya Usambara Mashariki, Tanzania. Mradi unaihamasisha jamii inayozunguka misitu hii, ili kijijengea uwezo katika nyanja za uhifadhi wa misitu, kilimo endelevu na kuendeleza shughuli za utalii ikolojia kama njia rafiki na mbadala za kuendeleza maisha yao ya kila siku bila kuathiri kwa kiwango kikubwa mali asili zinazowazunguka. Kipaumbele muhimu kikiwa ni ”uhifadhi wa mmea aina ya Dughulushi (Saintpaulia)” kama nembo au alama ya kuwepo kwa misitu hii. Mradi pia unajishughulisha na shughuli zifuatazo:

Habari mpya kwa Kiingereza.


Taasisi tunazoshirikiana:

Amboni Sisal Properties Ltd

Ofisi ya Misitu Hifadhi Mkoa wa Tanga

Halmashauri ya Wilaya Muheza

Mashirika haya yamesaidia mradi kifedha / vifaa:

Rufford Small Grants National Geographic Conservation Trust Cincinnati Zoo & Botanical Garden Swedish African Violet  Society
Lintuvaruste